Huduma za jamii



NDELO
Utangulizi
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ina ukubwa wa kilomita za mraba 531. Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepakana na Wilaya ya Bagamoyo upande wa Kaskazini, upande wa Kaskazini Mashariki inapakana na Bahari ya Hindi, upande wa Kusini inapakana na Manispaa ya Ilala, upande wa Kusini Magharibi inapakana na Wilaya ya Kisarawe na upande wa Magharibi in

0 comments:

Post a Comment