Mwenge

SHEREHE ZA MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU YALIYOFANYIKA MKOANI LINDI KATIKA WILAYA YA KILWA

Sherehe hizi za kuukabidhi mwenge wa uhuru zilifanyika tarehe 7-09-2013  katika kiwanja wa ndege kilichopo Kilwa masoko ambapo mkuu wa Mkoa wa Dar  es salaam Saidi Meck Sadiki akiambatana na wakimbiza mwenge kitaifa na pamoja na Kamanda Kova waliwasili katika uwanja kilwa kwa ajili ya shughuli maalumu ya kuukabidhi mwenge huo katika Mkoa wa Lindi. pamoja na hayo timu ya watendaji, wakuu wa wilaya zote tatu,  na wajumbe wa chama cha mapinduzi kutoka wilaya zote nao walikuwepo na hapa chini ni 
baadhi ya picha za matukio 














Makabidhiano ya viongozi wa Mbio za Mwenge Wa uhuru yalikuwa hivii











Wakati mwenge wa Uhuru ulipowasili Mkoan lindi na kupokelewa na Wananchi pamoja na mkuu wa mkoa wa lindi 













Shamrashamra wakati wa kuusubiri mwenge wa uhuru kuwasili toka mkoa wa Dar es saalam























MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE UWANJA WA NDEGE WA  KIMATAIFA JULIUS K. NYERERE  

























MATUKIO KATIKA PICHA YAKIONYESHA SHAMRASHAMRA ZA MWENGE WA UHURU  JANA KATIKA MANISPAA YA KINONDONI AMBAPO JUMLA YA MIRADI SITA ILIZINDULIWA 








Burudani katika ufunguzi wa kata ya magomeni






















MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO INAYOTARAJIWA KUZINDULIWA WAKATI WA MBIO ZA MWENGE KATIKA MANISPAA YA KINONDONI


MRADI WA DARAJA LA MAKONGO – GOBA NA KIPANDE CHA BARABARA YA LAMI CHENYE UREFU WA MITA 400.

Manispaa ya Kinondoni ni moja ya Manispaa inayoendelea kutekeleza sera ya kuimarisha Miundo mbinu kwa ajili ya wananchi wake. Ujenzi wa daraja hili umesaidia sana kuunganisha kata moja na nyingine hasa kati ya Makongo na Goba, mbezi, kibamba, kimara.

Ujenzi wa daraja hili pamoja na kipande cha barabara ya lami chenye urefu wa mita 400 ni kutokana na mkakati wa Manispaa ya Kinondoni kufungua barabara katika maeneo mbalimbali ya Manispaa, kurahisisha usafiri kwa wakazi wake katika maeneo ya Manispaa pamoja na  kupunguza msongamano wa magari kwenye barabara kuu.






0 comments:

Post a Comment